6 things about Tafuta gari - Pata gari kila wakati!
1. Tafuta gari ina tumia state-of-the-art Artificial intelligence patent pending technolojia kuchunguza na kurekodi maegesho ya eneo lako wakati wowote uki egesha gari lako, bila hatua yoyote inahitajika kwa upande wako.Kitu pekee una faa kufanya ni kuzindua programu, na itakuwa bado ipo kwa nyuma (kwenye background) na ikifanya kazi yake.Kama umesahau ambapo uli egesha gari lako, na una jiuliza “gari langu likowapi?”- angaria Tafuta gari, na itakupa jibu la hili swali.
2. Ukitumia Tafuta gari hauta wahi kuuliza swali hili tena! Tafuta gari ina rekodi eneo la egesho lako MOJA KWA MOJA, wakati wowote ukiegesha gari lako.
3. Hakuna kubonyeza mabuto, hakuna hassle.Tafuta gari inachunguza eneo la maegesho na ukamilishi moja kwa moja.
4. Ndiy, umevisoma haki, moja kwa moja! Hakuna Buttons (mabuto) kusukuma (kubonyeza) au nyongeza nyingine zaidi, kama ilivyo katika programu (Apps) za kawaida.
5. Programu pekee ambayo inajua ambapo gari yako iko, hata kama haujui.
6. Hayo ni yote.Hakuna mambo yakutafuta gari lako tena.
How to setup Tafuta gari APK:
APK (Android Package Kit) files are the raw files of an Android app. Learn how to install tafuta-gari-pata-gari-kila-wakati.apk file on your phone in 4 Simple Steps:
- Download the tafuta-gari-pata-gari-kila-wakati.apk to your device using any of the download mirrors.
- Allow 3rd Party (non playstore) apps on your device: Go to Menu » Settings » Security » . Click "Unknown Sources". You will be prompted to allow your browser or file manager to install APKs.
- Locate the tafuta-gari-pata-gari-kila-wakati.apk file and click to Install: Read all on-screen prompts and click "Yes" or "No" accordingly.
- After installation, the Tafuta gari app will appear on the home screen of your device.
Is Tafuta gari APK Safe?
Yes. We provide some of the safest Apk download mirrors for getting the Tafuta gari apk.